Single Blog Title

This is a single blog caption
22
May

Wakulima mkoani kagera watakiwa kuongeza tija katika uzalishaji wa kahawa;

KAGERA

Na Shahidu Kyagulani

Wakulima mkoani kagera wametakiwa kuongeza tija na ufanisi katika uzalishaji wa zao la kahawa ili kuongeza uchumi wakaya, mkoa na taifa kwa ujumla.

Hayo yameelezwa na Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mh Erasto  siima wakati wa uzinduzi wa gala la kutunzia kahawa, lilipo katika Kijiji cha Ruhoko,kata Katoro wilaya ya bukoba.

Mh Siima amesema kua serikali kupitia Bodi ya kahawa,wanaendelea na jitihada za kutatua changamoto zinazo wakabiri wakulima ikiwemo kutoa wito kwa vijana wenye nguvu, kushiriki kwenye shughuli za kilimo Cha zao hilo.

Naye makamu mwenyekiti wa chama kikuu Cha ushirika  Bwana Respicus John  amewataka wakulima kuendelea kuamini vyama vya ushirika mkoani Kagera vya kcu na kdcu kua vinaendelea kushirikiana na serikali kutatua changamoto zao.

Aidha ameongeza kua amcos Zote za mpakani zitapewa pesa kwa wakulima waishio mipakani ili kuondokana na changamoto za kurubuniwa na wanunuzi wa magendo huku akiongeza kua Mizani itakayo tumika Ni ya kidjt

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

You are donating to : FADECO

How much would you like to donate?
$10 $20 $30
Would you like to make regular donations? I would like to make donation(s)
How many times would you like this to recur? (including this payment) *
Name *
Last Name *
Email *
Phone
Address
Additional Note
paypalstripe
Loading...